Thursday, 1 September 2016

SERIKALI YAWAZA KUBADILI FEDHA/NOTI ZAKE ILI KUWABANA MAFISADI WANAOFICHA HELA

Katika kile kinachoonekana kutaka kuwadhibiti watu wanaodaiwa kuficha fedha,Mhe. Rais John Magufuli amesema kwa mamlaka aliyonayo anaweza kuamua kubadili fedha ili zile zinazofichwa na watu hao wakose mahali pa kuzipeleka

No comments:

Post a Comment

Maoni yako