Tuesday, 6 September 2016

MFANO HAI WA "HAPA KAZI TU"

imekuwa ni tabia siku hizi kukuta watu wengi wenye nguvu, wa kike kwa wa kiume kuwakuta wamekaa vijiweni au maeneo mengine wakipiga story muda ambao walipaswa wawe wanajishughulisha na kazi za kuwapa kipato. Zaidi sana wamekuwa wakilalamika serikali haiwajali na imefanya maisha kuwa magumu. Oneni mfano huu wa huyu Bibi ambae hasubiri watoto wala wajukuu waje kumsaidie kukarabati nyumba yake, anatambua umuhimu wa kauli mbiu ya "hapa kazi tu" na kuitekeleza kwa vitendo.
.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako