Wednesday 29 June 2016

SHOGA ALIVYOTIKISA CLOUDS FM MAHOJIANO TAKE ONE

Shoga maarufu kwa jina la KAOGE

Mashoga wanaongezeka kwa kua waaribifu ni wengi na wengi ni watu wazito. Shoga anatamani kuzaa anataka kupandikiza na yupo kwenye harakati za kubeba mimba
Alikua anaitwa mwanamke tangu mdogo na baba yake na mitaani alikua anaitwa gody ka demu, Kiukweli wanaume tusifumbie macho ili swala malezi ya karibu zaidi tangu utoto ndio tunaweza kupiga vita USHOGA. Na si matusi kipigo na unyanyapaaji

1 comment:

  1. God Bless Tanzania...... Kweli tunapokwenda kujikwaa ni kwenye Maji na ni peupee peeee!!

    ReplyDelete

Maoni yako