Monday 27 June 2016

MHE RC MAKONDA AWAJIBU GAZETI NIPASHE

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda awajibu Gazeti la Nipase baada ya kumwandika Katika gaeti la Jana Jumapili June 27, 2016... 'Misifa ya Makonda kuwaponza wakongwe, wengi presha yapanda'... Ila yeye amendika maneno hayo juu, kwenye ukurasa wake wa Instagram

1 comment:

  1. Punguza kukopi... duh! hii stori ulipoitoa ni www.kajunason.com

    ReplyDelete

Maoni yako