Monday 27 June 2016

MHE WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MWIGULU NCHEMBAAKABIDHIWA OFISI NA MHE KITWANGA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kushoto) akipokea taarifa ya makabidhiano kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Charles Kitwanga kwenye ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako