Monday 6 June 2016

DIAMOND PLATNUMZ ACHANGIA MADAWATI 600 JIJINI DAR ES SALAAM

Kundi la WCB Wasafi wakiongozwa na Rais wa kundi hilo, Mwanamuziki Diamond Platnumz wakiwasili katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa ajili ya tukio hilo la kutoa machango wa wa Madawati 600 kwa Mkoa wa Dar.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akimpongeza Mkurugenzi wa WCB, msanii Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz' mara baada ya kumtembelea ofisini kwake na kutoa mchango wake wa madawati yapatayo 600 kwa ajili ya kuchangia maendelea ya mkoa.

Akiongea katika makabidhiano hayo msanii huyo alisema ni jambo jema kwao kuweza kujitolea mchango huo ili kuweza kumuunga mkono Mhe. Makonda katika kukabilana na changamoto za elimu.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako