Monday, 13 October 2014

VIPAJI

Mwana dada huyu wa Uingereza/Philippines anavyotumia vizuri viungo vyake vya mwili

Saturday, 11 October 2014

UONGOZI NI MFANO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakishiriki kuvuna majani ya chai, katika shamba la Uniliver, eneo la Ngwazi, katika wilaya ya Mufundi mkoani Iringa, leo Oktoba 10, 2014. Kinana yupo katika ziara ya mkoa huo, kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya CCM

Friday, 10 October 2014

Thursday, 9 October 2014

UNAIKUMBUKA HII? ISUZU KICWA YA NGOMBE

KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA YAKABIDHIWA KWA RAIS

Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akipokea nakala ya katiba iliyopendekezwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samwel Sita.
Waheshimiwa Rais wa Muungano na Rais wa Zanzibar wakinyanyua juu nakala ya Katiba Mpya iliyopendekezwa

Wednesday, 8 October 2014

TASWIRA YA BUGANDO HOSPITALI KWA MBALI JIJINI MWANZA

ZIJUE BENDERA ZA NCHI WANACHAMA WA EAC

Jumuiya ya Afrika Mashariki inahusisha Uganda Tanzania Rwanda Kenya na Burundi kama zilivyo Bendera zao kutoka kulia. Na ya mwisho kushoto ndio Bendera ya Jumuiya

TASWIRA YA DARAJA LA KIGAMBONI LITAKAPOKAMILIKA