Wednesday, 17 September 2014
Tuesday, 16 September 2014
JIJI LETU DAR NA ADHA YA MVUA
Miundo mbinu katika jiji letu bado sio mizuri kwakweli maana mvua ya juzi na jana tu adha yake ndo hii
Monday, 15 September 2014
SAFU MPYA YA UONGOZI CHADEMA
Mhe. Freeman Mbowe amechaguliwa tena kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Chini ni Mheshimiwa Mbowe akiwa na Viongozi wengine wa Chama hicho.
TUWAPE WANAFUNZI MAZINGIRA BORA YA KUJIFUNZA
Ni Jumatatu ambapo wanafunzi wanaanza wiki ya pilika pilika za kutafuta elimu . Lakini nina uhakikwa kwa wanafunzi wa maendeo haya wanapofikiria taswira hizi hata hamu ya kwenda shuleni inapungua
Mwalimu amejikusanyia vitendea kazi vyake ila fimbo zimekuwa nyingi. Siui kama na vitabu ni vingi hivyo au pia kilichopo kichwani kwa ajili ya kuwagawia wanafunzi. Mbinu nzuri za ufundhishaji ndo zinasaidia na sio lundo la fimbo
Hapo ndo wamefika darasani. Kweli miaka 50 ya Uhuru bado wanafunzi wengine wanasomea sehemu kama hizi na hapo hapo twataka tupate viongozi wa taifa hili kesho. Kuna umuhimu wa kufanya kitu cha ziada.
Hivi watoto hawa wanaosomea chini ya Mbuyu huku watu waliochaguliwa kwenda kuwawakilisha kutengeneza katiba mpya hawaendi Bungeni na hivyo kukwamisha mchakato, watawaambia nn watoto hawa?

Sunday, 14 September 2014
SUMU YA WACHEPUKAJI. BAKI NJIA KUU
Wengine wamefikia huku kabisa, kwanini usibaki njia kuu sasa.
Haya sasa hii tena ni zaidi...
Upo Twitter, Hapana, Upo Facebook Hapana, ........

Subscribe to:
Comments (Atom)