Wednesday, 3 June 2015
MWANAMKE WA KITANZANIA KHANGA
Hawa ni kinamama wa Kata ya Buger huko Karatu Arusha Tanzania. Hapa mkazi mmoja wa Buger Bi.rehema akitoa kero yake kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Lazaro Nyalandu
KUTOKWA MACHOZI WAKATI WA KUMSALIMIA RAIS KENYATTA KWAMPA TIKETI YA KUZURU IKULU YA RAIS
Mara ya kwanza msichana huyu jina na picha yake viliingia kwenye Headlines baada ya kuonekana akisalimiana na Rais Kenyatta huku akitokwa machozi. Kumbe ni RaisKenyatta aliyemwona msichana huyo akitokwa machozi huku akimpungia mkono, akasimamisha msafara wake na kumsalimia msichana huyo.
Leo karudi tena kwenye headlines nyingine, kilio chake cha furaha kimesababisha awe mgeni kabisa ndani ya Ofisi ya Rais Kenyatta, Nairobi Kenya
Leo karudi tena kwenye headlines nyingine, kilio chake cha furaha kimesababisha awe mgeni kabisa ndani ya Ofisi ya Rais Kenyatta, Nairobi Kenya
Tuesday, 2 June 2015
RAIS WA FIFA JOSEPH SEPP BLATTER ATANGAZA KUJIUZULU
Rais wa FIFA Sepp Blatter ametangaza kujiuzulu wadhifa huo ikiwa ni siku nne tu baada ya kutangazwa kushika nafasi hiyo. Hata hivyo amesema kuwa ataendelea kushikilia nafasi hiyo hadi uchaguzi utakapofanyika tena. Uchaguzi huo unatarajiwa wakati wowote kati ya Dec 2015 na Machi 2016
“Nilijiskia mkamilifu kwa kugombea tena kwenye uchaguzi wa FIFA nikiamini kwamba kilikua ni kitu muhimu kwa FIFA. Uchaguzi umeisha lakini changamoto za FIFA hazijaisha.
Japokua nina madaraka kutoka kutoka kwa wanachamana wa FIFA, lakini sijiskii kama nina madaraka kutoka kwa dunia nzima ya wapenda soka, wachezaji na vilabu".

MARAIS JAKAYA KIKWETE NA SHEIN ZIARANI NCHI ZA ULAYA
Mheshimiwa Rais Ali Mohamed Shein akiagana na viongozi mbalimbali kabla ya kuondoka kuelekea nchini Ujerumani kwa ziara ya kikazi
Mhe.Rais Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais wa Finland mhe. Sauli Niinisto wakipokea saluti maalum
Mhe.Rais Kikwete akitazama Bandari ya Helsinki huko Finland
Mhe.Rais Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais wa Finland mhe. Sauli Niinisto wakipokea saluti maalum
Mhe.Rais Kikwete akitazama Bandari ya Helsinki huko Finland
IJUE KAMATI KUU YA CCM ITAKAYOPITISHA MAJINA 5 YA WANAOWANIA URAIS
Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM itakayopitisha majina matano ya wagombea uraisi kwa ajili ya kupigiwa kura na NEC kupata mgombea mmoja.
1. Jakaya Mrisho Kikwete
2. Dr. Ally Mohamed Shein
3. Phillip Japhet Mangula
4. Abdulrahman Kinana
6. Dr. Mohamed Ghalib Bilal
7. Mizengo Kayanza PeterPinda
8. Balozi Seif Ali Iddi
9. Anna Semamba Makinda
10. Pandu Amir Kificho
11. Rajab Luhwavi
12. Vuai Ali Vuai
13. Nape Moses Nnauye
14. Mohammed Seif Khatibu
15. Zakhia Hamdan Meghji
16. Asha Rose Migiro
17. Sophia Simba
18. Sadifa Juma Khamis
19. Abdallah Majura Bulembo
20 Jenister Mhagama
21. William Lukuvi
22. Steven Masato Wasira
23. Emmanuel John Nchimbi
24. Pindi Chana
25. Jerry William Slaa
26. Adam Kimbisa
27. Shamsi Vuai Nahodha
28. Hussein Ally Mwinyi
29. Maua Daftari
30. Samia Suluhu
31. Salim Ahmed Salim
32. Makame Mbarawa
33. Hadija Abood
Nafasi zilizo wazi:
34. Anna Kajumulo Tibaijuka (ametolewa kutokana na kashfa ya Escrow)
35. Salmin Awadhi (amefariki)
Kabla ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012 wenyeviti wastaafu (taifa) na makamu wenyeviti wastaafu (taifa) walikuwa wajumbe wa kamati kuu. Kwa sasa wana nafasi yao kama Baraza la Ushauri ambalo wajumbe wake ni hawa wafuatao:
1. Ally Hassan Mwinyi - Mwenyekiti
2. Pius Msekwa - Katibu
3. Benjamin William Mkapa - Mjumbe
4. Aman Abeid Karume - Mjumbe
5. Dr. Salmin Amour - Mjumbe
Hawa wazee wa Baraza la Ushauri wana nafasi yao katika ushauri kwa kamati kuu kuhusu wagombea urais. Vikao vyao havina kalenda hukutana tu pale linapokuwa jambo muhimu na mahususi linalohitaji mawazo yao.
Maamuzi ya Kamati Kuu ni kwa consensus (busara/common sense), sio kura.

Monday, 1 June 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)