Monday 27 May 2013

UCHACHARIKAJI UMEANZA: JE WEWE UMEJIPANGAJE???

 Watoto hawa nao wanatimiza wajibu wa 'asiyefanya kazi na asile' au ndio adhabu, au ndo kama asemavyo huyo 'Riziki popote'???? Tunajifunza nini kwa watoto hawa?
 Tunapoanza kazi wiki hii tujitahidi kuwa makini kazini kuepuka kishawishi kama apatacho mlinzi huyu ambacho kinahatarisha maisha yake na nafasi yake kazini
 Hakika madreva wa bodaboda nanyi mna mtihani, lakini yote kazi. Piga kazi usijali umbo la mtu
Jamani, mwatuweka kwenye mstari masaa kumbe shosti upo busy na ' laaazizi kwenye FB' jitathmini

1 comment:

  1. Kaaaazi kwelikweli kwa kweli!!Ila hao watoto ilibidi wawe shuleni au waishi kama watoto tu...

    ReplyDelete

Maoni yako