Thursday 14 March 2013

HATIMAYE: POPE FRANCIS 1Baada ya kupiga kura za siri kwa siku mbili huku wakiongozwa na Roho mtakatifu, makardinali wa kanisa katoliki wamemchagua Jorge Mario Bergoglio kutoka Argentina kuwa Baba Mtakatifu. Amechagua kuitwa Papa Francis 1.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako