Monday 19 March 2012

HODI TENA WADAU


Baada ya muda mrefu wa kuhadimika kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo, nawakaribisha tena wadau katika blog hii. Kwa sasa nipo nyumbani kabisa Tanzania japo muda si mrefu tena nitarudi kwa Bibi. Hivyo kwa sasa nitakuwa nawaletea "LIVE". Karibuni sana na poleni kwa kuimiss blog yenu pendwa.

1 comment:

  1. Afadhali umerudi...KARIBU SANA ni kweli tuliimiss na tulikumiss.

    ReplyDelete

Maoni yako