Sunday 9 May 2010

JUMAPILI NJEMA

Jumapili ni siku ya mapumziko na kupanga mikakati mipya kwa ajili ya wiki inayoanza. Kwa walio jijini kama Dar-es-Salaam wanaanza tena kufikiria mikiki mikiki ya foleni asubuhi na mvua zenye adha. Lakini yote tumshukuru mungu maana ametupa uhali na tusonge mbele kwa jitihada "to make life better"

1 comment:

  1. Jumapili njema nnawe pia kakangu pia na yeyote atakayepita hapa kibarazani. Upendo daima-

    ReplyDelete

Maoni yako