Mkuu Mpya wa Wilaya ya Musoma,Mkoani Mara
Monday, 18 April 2016
WATANZANIA KUJENGE TABIA YA USAFI WA MAZINGIRA YETU
Taswira ya Usafi wa Mji wa Kigali nchini Rwanda.
Taswira ya mazingira ya usafi Jiji la Dar es Salaam. Hii ndugu zangu ni aibu tubadilike sasa.
Hongera nyingi kwa Mji wa Moshi Kilimanjaro kwa kujitahidi suala la usafi wa mazingira

UTEUZI BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI JAPAN
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua
Mheshimiwa Mathias Meinrad Chikawe kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan.
Taarifa iliyotolewa leo tarehe 18 Aprili 2016 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, imeeleza kuwa uteuzi wa Mheshimiwa Chikawe umeanza tarehe 13 Aprili, 2016.
Kabla ya kupangiwa kituo hicho cha kazi, Mheshimiwa Mathias Meinrad Chikawe aliteuliwa kuwa Balozi mnamo tarehe 15 Februari, 2016.
Mheshimiwa Chikawe aliwahi kuwa mbunge wa Jimbo Ia Nachingwea kati ya Mwaka 2005 na 2015, na kwa vipindi tofauti katika serikali ya awamu ya nne alikuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dares salaam
18 Aprili 2016

Sunday, 17 April 2016
Saturday, 16 April 2016
FLYOVER YA TAZARA UJENZI WAKE KUANZA RASMI SASA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi na kuanza kwa ujenzi wa mradi wa barabara ya juu Tazara Jijini Dar es Salaam.
PESA JAMANI PESA!
A dog died and the owner went to his pastor and asked, "Pastor, my dog is dead, could there be a service for the poor creature?" Pastor replied, "No, we can't have a service for an animal in the church. However, there is a new church down the road. Maybe they will do something for the animal." Then the man answered, “Pastor, but do you think they will accept a donation of R10million in return for the burial service?" Pastor shouted, "Blood of Jesus! Why didn’t you tell me the dog was a christian?"
MONEY!! Uroho kwelikweli
MONEY!! Uroho kwelikweli
Friday, 15 April 2016
SUDANI KUSINI YAJIUNGA RASMI NA EAC
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanua Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati na Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit wakati Rais Kiir alipowasili Ikulu na kupokelewa na kwa ajili ya kutia kusani mkataba wa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki Leo April 15,2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanua Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit wakati Rais Kiir alipowasili Ikulu na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa ajili ya kutia kusani mkataba wa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki Leo April 15,2016
Mhe Rais magufuli akitia saini mkataba wa kuiingiza rasmi Sudani kusini kwenye Jumuiya ya Afrika mashariki

Thursday, 14 April 2016
JENGO LA "MACHINGA COMPLEX" DAR LAKABIDHIWA MKUU WA MKOA
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene amevunja bodi ya Soko la Machinga Complex lililopo Ilala Mchikini Dar es Salaam na kulikabidhi kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.
Akizungumza leo katika mkutano wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini (JWT), Simbachawene amesema wazo la kuanzishwa kwa soko hilo lilikuwa zuri lakini Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeshindwa kulitekeleza.
Jengo hilo lilikamilika kujengwa mwaka 2010 likiwa na uwezo wa kuchukua wafanyabiashara 4206, lakini Waziri Simbachawene alisema limeishia kuwa makazi ya popo

Subscribe to:
Posts (Atom)