Kijana mmoja Jijini Arusha akitumikia adhabu ya viboko 120.
SHERIA iliyopitishwa na wakazi wa Arumeru mkoani Arusha ya kuwachapa viboko 70 hadi 120 wasichana wanaovaa nusu uchi na wavulana wanaovaa mlegezo, kuvuta bangi, wizi, matusi na ulevi nyakati za kazi imeanza kufanya kazi baada ya kijana Zakayo Leonard (26) kuchapwa viboko 120 kwa makosa mbalimbali likiwemo uchafu wa kutofua nguo zake.
(Picha kwa hisani ya Global Publishers)
Tuesday, 7 October 2014
MAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA WA WAHEHE
Tujue historia yetu
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia fuvu la aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa alipotembelea Makumbusho ya shujaa huyo aliyepambana na wajerumani na kujiua kwa bunduki baada ya kuona yupo hatarini kukamatwa na wajerumani.
Picha ya kuchorwa ya Chifu Mkwawa
Fuvu la kichwa cha Mkwawa

Sunday, 5 October 2014
Wednesday, 1 October 2014
Subscribe to:
Comments (Atom)