Monday, 31 August 2015
Sunday, 30 August 2015
MAMA ONGEA NA MWANAO...............
Wasanii wa Filamu nchini Wema Sepetu na Steven Nyerere wakimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Kikwete katika Hoteli ya Hyatt Kempinski jijini Dar es Salaam kuzindua kampeni ya 'Mama Ongea na Mwanao' ili aipigie kura CCM. Kampeni hiyo imeratibiwa na wasanii wa filamu wakiongozwa Wema Sepetu na Steven Nyerere.
Picha nyingine za tukio hilo
Picha nyingine za tukio hilo
Saturday, 29 August 2015
Friday, 28 August 2015
MONDULI NAO WAIKUBALI CCM
Ama kweli HAPA KAZI TU
Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Monduli Jimbo la Mhe.Edward Lowassa
Hata wana CHADEMA walikuwepo
Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Monduli Jimbo la Mhe.Edward Lowassa
Hata wana CHADEMA walikuwepo
Thursday, 27 August 2015
Wednesday, 26 August 2015
DKT MAGUFULI APIGA KAMPENI LEO MJINI TUNDUMA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma waliofurika kwa wingi katika uwanja wa shule ya msingi Tunduma,mkoa wa Mbeya mapema leo mchana,kwenye mkutano wa kampeni wa kuwaomba Watanzania ridhaa ya kuwaongoza katika kipindi cha awamu ya tano,ambapo uchaguzi unatarajiwa kufanyia Oktoba 25 mwaka huu.
Umati mkubwa ulifika kumsikiliza
VIDEO: DKT MAGUFULI ALIVYOITEKA SUMBAWANGA
Wananchi wakinyanyua mikono kuonyesha ishara ya kumkubali Mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM mhe/Dkt.Magufuli
Tuesday, 25 August 2015
CCM YAANZA MBIO ZA KAMPENI MIKOANI KATAVI NA KILIMANJARO
mhe John Magufuli yupo Mkoani Katavi
Wananchi wa Mishamo wakimsikiliza Dk.John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM mkoani Katavi.
Mhe Samia Suluhu yupo Mkoani Kilimanjaro
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika Uwanja wa Shule ya Msingi Hedaru, wilayani Same mkoani Kilimanjaro

Monday, 24 August 2015
UZINDUZI WA KAMPENI CCM WAWEKA HISTORIA
Umati wa WanaCCM na wananchi wengine waliohudhuria uzinduzi huo hapo jana maeneo ya Jangwani Jijini Dar
Sunday, 23 August 2015
KAULI TATA ZA MHE.WAZIRI MSTAAFU FREDRICK SUMAYE
Asemavyo Mhe.Fredrick Sumaye alipoondoka CCM (VIDEO)
Japo amehama CCM alakini alitamka wazi kuwa CCM ikimchagua mla rushwa atahama CCM akimlenga mhe. Edward Lowassa
Japo amehama CCM alakini alitamka wazi kuwa CCM ikimchagua mla rushwa atahama CCM akimlenga mhe. Edward Lowassa
Subscribe to:
Posts (Atom)