Tulikotoka ni mbali , pengine asubuhi hii ndo unapasha ugali moto ule uwahi majukumu yako kama ni shule au kazini. Yote maisha, twende tukawajibike.
Tukauze mitumba sasa Gulioni
Nawe Boda boda usijali, hii ni zaidi ya Mshkaki
Mavuno ya mshambani nayo
WANAKWAYA SITA WAFARIKI DUNIA WAKIENDA KUINJILISHA INJILI..
48 minutes ago
Hakika tumetoka mbali...umenikumbusha kula kiporo asubuhi ...
ReplyDelete