Tuesday 7 October 2014

ADHABU ZA PAPO KWA HAPO ARUSHA

Kijana mmoja Jijini Arusha akitumikia adhabu ya viboko 120.
SHERIA iliyopitishwa na wakazi wa Arumeru mkoani Arusha ya kuwachapa viboko 70 hadi 120 wasichana wanaovaa nusu uchi na wavulana wanaovaa mlegezo, kuvuta bangi, wizi, matusi na ulevi nyakati za kazi imeanza kufanya kazi baada ya kijana Zakayo Leonard (26) kuchapwa viboko 120 kwa makosa mbalimbali likiwemo uchafu wa kutofua nguo zake.
(Picha kwa hisani ya Global Publishers)

No comments:

Post a Comment

Maoni yako