Wednesday, 26 October 2016

MOROCCO NA TANZANIA KUSAINI MIKATABA 21 YA USHIRIKIANO KTK ZIARA YA MFALME WA MORROCO

Mfalme Mohammed VI wa Morocco amekubali maombi ya Rais John Magufuli ya kujenga uwanja wa mpira mjini Dodoma ambao utakuwa mkubwa kuliko ule wa Taifa jijini Dar es Salaam sambamba na kujenga msikiti mkubwa jijini humo.

Rais Magufuli aliyasema hayo Ikulu Dar es Salaam jana wakati akitoa shukrani baada ya kukutana na kiongozi huyo, aliyeambatana na wajumbe 150 ambao pamoja na mambo mengine, nchi hizo mbili zilisaini Mikataba ya Makubaliano (MoU) 21.

Akitoa taarifa fupi ya mazungumzo baina yao, Rais Magufuli alisema Mfalme Mohammed VI amekubali kujenga msikiti mkubwa jijini Dar es Salaam sambamba na kujenga uwanja wa mpira mjini Dodoma wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 80 (zaidi ya Sh bilioni 160).

“Katika mazungumzo yetu, nimshukuru Mfalme Mohammed wa Morocco amekubali ombi langu la kujenga msikiti mkubwa hapa Dar es Salaam, na amekubali kwenye mji mkuu Dodoma, atajenga uwanja wa mpira utakaokuwa mkubwa kuliko wa Dar, na thamani yake ni zaidi ya Dola milioni 80,” alieleza Dk Magufuli.

Uwanja wa Taifa umejengwa na Wachina kwa gharama ya Sh bilioni 60 na una uwezo wa kuchukua watu 60,000 waliokaa. Dodoma ambayo ni Makao Makuu ya nchi na Serikali ya Awamu ya Tano imepanga yote kuhamia huko ifikapo mwaka 2020, inao Uwanja wa Jamhuri ambao unamilikiwa na CCM na unachukua watu 8,000.

Mbali na hayo, katika kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizo mbili kwenye nyanja ya usalama na ulinzi, Mfalme huyo amekubali kuanzisha programu ya kubadilishana mafunzo baina ya askari wa Tanzania na Morocco na kwa kuanza wiki ijayo askari 150 wa Tanzania watakwenda mafunzoni nchini Morocco.

Katika ziara ya siku tatu ya kikazi ya Mfalme Mohammed VI aliyewasili nchini juzi, akiwa na ujumbe wa wafanyabiashara pamoja na viongozi wengine, wamefanikiwa kufanya makubaliano ya mikataba 21 katika nyanja mbalimbali zikiwamo za kilimo, gesi, madini na na usafiri wa anga.

Mikataba hiyo ni pamoja na Makubaliano ya Jumla katika Ushirikiano wa Uchumi, Sayansi, Ufundi na Utamaduni baina ya Serikali ya Morocco na Tanzania yaliyosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk Augustine Mahiga na Waziri wa wizara hiyo wa Morocco, Salahddine Mezouar.

Mwingine ni ule wa kuanzishwa kwa Jukwaa la Mashauriano ya kisiasa baina ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na wizara hiyo nchini Morocco, mkataba wa ushirikiano kwenye sekta ya gesi, nishati, madini na sayansi ya miamba, mkataba wa ushirikiano wa usafiri wa anga, mkataba wa ushirikiano kwenye mradi wa mtangamano wa kuwasaidia wakulima wadogo nchini.

Pia mkataba wa makubaliano kwenye sekta ya uvuvi, mkataba wa makubaliano baina na MASEN-Morocco na Wizara ya Nishati na Madini kwa ajili ya maendeleo ya nishati mbadala, mkataba wa ushirikiano baina ya Shirika la Mbolea la Morocco (OCP) na Shirika la Mbolea la Tanzania katika kuendeleza soko la mbolea na kilimo nchini.

Pia mkataba baina ya Bodi ya Utalii Tanzania na Kamisheni ya Utalii Zanzibar na Ofisi ya Utalii ya Taifa nchini Morocco, Mkataba wa Kundi la Utoaji Mikopo la Morocco na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Mkataba baina ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) na Shirika la Bima la Morocco.

Mingine ni Mkataba wa Maeneo Maalumu ya Uwekezaji (EPZA) na Kundi la SNTL la Morocco katika ubia wa uendelezaji na utangazaji wa viwanda, mkataba wa usafirishiaji kwenye reli kupitia Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Tanzania (RACO) kwa ajili ya ubia kuendeleza reli ya Mtwara-Mchuchuma/Liganga.

Aidha, mkataba mwingine ni ule wa kuanzishwa kwa Baraza la Biashara baina ya Shirikisho la Wafanyabiashara wa Morocco (CGEM) na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Mkataba wa Mkopo baina ya Benki ya Afrika (BOA) na Hospitali ya CCBRT na mkataba wa mkopo wa BOA na Kampuni ya gesi ya Lake.

Mkataba wa Mkopo wa BOA na Kampuni ya Superstar Forwarders, Mkataba wa Ushirikiano baina ya Kampuni ya OLAM Tanzania na Benki ya Attijariwafa, mkataba wa ubia baina ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)na Benki ya Centrale Populaire ya Morocco, mkataba wa Kitaalamu baina ya Shirikisho la Bima la Morocco na kampuni za bima Tanzania.

Pia mkataba wa ushirikiano baina ya kampuni ya kuchanganya chai ya Morocco na Kampuni ya Afri Tea and Coffee ya Tanzania.

Akizungumzia MoU kwenye usafiri wa anga, Rais Magufuli alisema wamekubaliana nchi hizo mbili kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwenda Rabat, mji mkuu wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

“Na sisi tumeanzisha shirika letu kidodokidogo linasuasua, lakini tutakuwa na ushirikiano mzuri na Shirika la Ndege la Morocco, na makubaliano haya yote ni mwelekeo nzuri wa kuijenga Tanzania na kuwa na uchumi unaokua kwa asilimia 7.2,” alisema Rais Magufuli.

Rais Magufuli alisema Morocco imepiga hatua kubwa kwenye utalii na kwamba mwaka 2015 ilipokea watalii milioni 10.5 na mwakani wanategemea kupokea watalii zaidi ya milioni 14 na kwamba Tanzania imesaini makubaliano kwenye sekta hiyo kwa lengo la kuendeleza hifadhi za nchi na kuutangaza utalii.

Aidha, alisema makubaliano yote hayo yamelenga kuijenga Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati wa viwanda na kwamba hilo linawezekana kwa kuwa hata sasa hali ya uchumi wa nchi ni nzuri kwa kuwa unakua kwa asilimia 7.2; na taarifa za uchumi zinaonesha kwenye robo ya pili ya mwaka uchumi umekua kwa asilimia 7.9.

“Tuko kwa ajili ya kuujenga uchumi na niwakaribisheni wageni wetu kutoka Morocco, niwahakikishieni kuwa mko salama na karibuni kuwekeza kwa faida ya nchi hizo mbili ambazo uhusiano wake ulianza tangu enzi za Iban Batutu wa Morocco aliyetembelea Kilwa miaka mingi iliyopita,” alieleza Rais Magufuli.

17 comments:

 1. mikataba ya mkopo kati ya binafsi, haraka na za kuaminika 30,000 kr

  LUCIANA nina mji mkuu ambazo zitatumika kutoa mikopo maalum kwa muda mfupi na mrefu kutoka 75,000kr hadi 2,000,000 kr kwa mtu yeyote kwa umakini kutaka mkopo. 2% hadi 3% riba mwaka kulingana na kiasi kulipwa kwa sababu mimi si hasa wanataka kukiuka sheria riba. Unaweza kulipa miaka 1 mpaka 20 kutegemea kiasi cha juu ameipa. Wasiliana nasi kwa barua pepe tu: luciana.salvatore147@gmail.com Mawasiliano kwa barua pepe tu: luciana.salvatore147@gmail.com Mawasiliano kwa barua pepe tu: luciana.salvatore147@gmail.com

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hej alla i detta forum, jag är Burhan Alptekin från Turkiet, jag kan inte tro att Gud verkligen existerar, förrän jag blev Frälsad och räddad från finansiell bondage. Jag var i finanskrisen och behövde betala några räkningar. Jag försökte söka hjälp från banker, men jag försökte inte söka hjälp från internet bara för att möta svindlare som låtsades vara privat långivare och gjorde bort med min $ 1000 dollar och fick inte mitt lån, förrän Gud presenterade mig för att Susan James Loan Company genom en vän som räddades från ett finansiellt problem och ett lån på $ 250.000 dollar beviljades honom av Susan James, så jag tog hans råd och kontaktade Susan James Loan Company och inom ett veckors utrymme mina lån av $ 200.000 dollar beviljades mig.so mitt råd till alla som söker lån till låg ränta på 3%. Jag gör det här för att jag är så glad är ur finansiell bondage och är återigen full av glädje och livet är lätt allt tack vare Gud och Susan James. Du kan kontakta företaget Website: https://susanjamesloanfirm.wixsite.com/loan-officer or via email: susanjamesloanfirml07@gmail.com or susanjamesloanfirml07@outlook.com eller du kan också skicka dem en Whats-app Massage :+1(587)206-1157

   Delete
 2. mikataba ya mkopo kati ya binafsi, haraka na za kuaminika 30,000 kr

  LUCIANA nina mji mkuu ambazo zitatumika kutoa mikopo maalum kwa muda mfupi na mrefu kutoka 75,000kr hadi 2,000,000 kr kwa mtu yeyote kwa umakini kutaka mkopo. 2% hadi 3% riba mwaka kulingana na kiasi kulipwa kwa sababu mimi si hasa wanataka kukiuka sheria riba. Unaweza kulipa miaka 1 mpaka 20 kutegemea kiasi cha juu ameipa. Wasiliana nasi kwa barua pepe tu: luciana.salvatore147@gmail.com Mawasiliano kwa barua pepe tu: luciana.salvatore147@gmail.com Mawasiliano kwa barua pepe tu: luciana.salvatore147@gmail.com

  ReplyDelete
 3. mikataba ya mkopo kati ya binafsi, haraka na za kuaminika 30,000 kr

  LUCIANA nina mji mkuu ambazo zitatumika kutoa mikopo maalum kwa muda mfupi na mrefu kutoka 75,000kr hadi 2,000,000 kr kwa mtu yeyote kwa umakini kutaka mkopo. 2% hadi 3% riba mwaka kulingana na kiasi kulipwa kwa sababu mimi si hasa wanataka kukiuka sheria riba. Unaweza kulipa miaka 1 mpaka 20 kutegemea kiasi cha juu ameipa. Wasiliana nasi kwa barua pepe tu: luciana.salvatore147@gmail.com Mawasiliano kwa barua pepe tu: luciana.salvatore147@gmail.com Mawasiliano kwa barua pepe tu: luciana.salvatore147@gmail.com

  ReplyDelete
 4. kubwa fedha mikopo kati ya ushahidi fulani.
  E-mail address: oliviacleran@gmail.com

  Asante na wewe mama Olivia Dieu atakutuza mia.
  Ninyi ambao ni kuangalia kwa mkopo fedha, sijui jinsi ya kueleza furaha yangu kwa kuwa mimi mwenyewe kuangalia tayari, niliona mwanamke mmoja aitwaye Olivia CLERAN ya Kifaransa utaifa. Yeye iliyotolewa mkopo ya € 20,000 kwa kiwango cha 2%.
  Nawashukuru kwa kunipa mkopo.
  Naapa mbele ya Mungu na mtu kwamba mimi kulipa mkopo kila senti.
  Kama una tatizo fedha tafadhali kuwasiliana katika barua pepe yake ni: oliviacleran@gmail.com
  E-mail address: oliviacleran@gmail.com

  ReplyDelete
 5. kubwa fedha mikopo kati ya ushahidi fulani.

 6. kubwa fedha mikopo kati ya ushahidi fulani.

 7. kubwa fedha mikopo kati ya ushahidi fulani.

 8. lån erbjuda 48 timmar:jurybonasia412@gmail.com
  5000 Kr var 500.000.000 Kr
  Jag har ett kapital som ska användas för att ge på kort och lång sikt särskilda lån som sträcker sig från 5.000Kr till 500.0000 krjoner kronor till alla som vill ha seriösa detta lån. 3% ränta per år i enlighet med den lånade summan eftersom att särskilt jag inte vill bryta mot ocker lagen. Du kan betala tillbaka över 3 till 25 år maximua enligt lånebeloppet . det är upp till dig att månatliga betalningar. Jag ber bara ett erkännande av handskrivna certifierade skuld och även vissa delar krävs.:jurybonasia412@gmail.com

  ReplyDelete

 9. lån erbjuda 48 timmar:jurybonasia412@gmail.com

 10. Jag är redo för dem som är i nöd. Jag har ett kapital som kommer att användas för att bevilja lån individ på kort och lång sikt, som sträcker sig från 150.000 kr 60.000.000 kr till alla seriösa människor, ärlig och god moral vilja av detta lån 3 % ränta år enligt det belopp, eftersom de är särskilt vänligen kontakta mig via mail för mer information.

  Min e-post:luciana.salvatore147@gmail.com

  ReplyDelete

 11. Jag är redo för dem som är i nöd. Jag har ett kapital som kommer att användas för att bevilja lån individ på kort och lång sikt, som sträcker sig från 150.000 kr 60.000.000 kr till alla seriösa människor, ärlig och god moral vilja av detta lån 3 % ränta år enligt det belopp, eftersom de är särskilt vänligen kontakta mig via mail för mer information.

  Min e-post:luciana.salvatore147@gmail.com

  ReplyDelete
 12. förändra livet? Vi erbjuder lån till 750.000 kr 20 000.000 kr personer

  Du behöver en akut lån? utan långdragen process? Du vill köpa en bil? renovera din lägenhet? av ett projekt? att förändra livet? Vi erbjuder lån till 750.000 kr 20 000.000 kr personer som är i behov med en ränta på tre procent 3% återbetalas under 35 år gammal. Kontakta mig
  E-post:luciana.salvatore147@gmail.com

  ReplyDelete
 13. förändra livet? Vi erbjuder lån till 750.000 kr 20 000.000 kr personer

  Du behöver en akut lån? utan långdragen process? Du vill köpa en bil? renovera din lägenhet? av ett projekt? att förändra livet? Vi erbjuder lån till 750.000 kr 20 000.000 kr personer som är i behov med en ränta på tre procent 3% återbetalas under 35 år gammal. Kontakta mig
  E-post:luciana.salvatore147@gmail.com

  ReplyDelete
 14. förändra livet? Vi erbjuder lån till 750.000 kr 20 000.000 kr personer

  Du behöver en akut lån? utan långdragen process? Du vill köpa en bil? renovera din lägenhet? av ett projekt? att förändra livet? Vi erbjuder lån till 750.000 kr 20 000.000 kr personer som är i behov med en ränta på tre procent 3% återbetalas under 35 år gammal. Kontakta mig
  E-post:luciana.salvatore147@gmail.com

  ReplyDelete
 15. förändra livet? Vi erbjuder lån till 750.000 kr 20 000.000 kr personer

  Du behöver en akut lån? utan långdragen process? Du vill köpa en bil? renovera din lägenhet? av ett projekt? att förändra livet? Vi erbjuder lån till 750.000 kr 20 000.000 kr personer som är i behov med en ränta på tre procent 3% återbetalas under 35 år gammal. Kontakta mig
  E-post:luciana.salvatore147@gmail.com

  ReplyDelete
 16. Hej alla i detta forum, jag är Burhan Alptekin från Turkiet, jag kan inte tro att Gud verkligen existerar, förrän jag blev Frälsad och räddad från finansiell bondage. Jag var i finanskrisen och behövde betala några räkningar. Jag försökte söka hjälp från banker, men jag försökte inte söka hjälp från internet bara för att möta svindlare som låtsades vara privat långivare och gjorde bort med min $ 1000 dollar och fick inte mitt lån, förrän Gud presenterade mig för att Susan James Loan Company genom en vän som räddades från ett finansiellt problem och ett lån på $ 250.000 dollar beviljades honom av Susan James, så jag tog hans råd och kontaktade Susan James Loan Company och inom ett veckors utrymme mina lån av $ 200.000 dollar beviljades mig.so mitt råd till alla som söker lån till låg ränta på 3%. Jag gör det här för att jag är så glad är ur finansiell bondage och är återigen full av glädje och livet är lätt allt tack vare Gud och Susan James. Du kan kontakta företaget Website: https://susanjamesloanfirm.wixsite.com/loan-officer or via email: susanjamesloanfirml07@gmail.com or susanjamesloanfirml07@outlook.com eller du kan också skicka dem en Whats-app Massage :+1(587)206-1157

  ReplyDelete

Maoni yako