Thursday, 6 October 2016

WAALIMU WA MAFUNZO WAMPIGA KINYAMA MWANAFUNZI HUKO MBEYA.WAFUKUZWA CHUO MARA MOJA

Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako amewafukuza chuo Waalimu waliokuwa katika mafunzo kwa vitendo Shule ya Mbeya Sekondari kwa kumpiga kikatili Mwanafunzi.


Sakata hili limeibuliwa na picha ya video iliyokuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii. Na pia vyombo vya usalama vinawatafuta walimu wote walio fanya unyama ule ili sheria ichukue mkondo wake


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya afafanua

No comments:

Post a Comment

Maoni yako