Friday, 7 October 2016

HUKO CUF MAMBO SI SHWARI

Mgogoro unaoiandama CUF huenda ukailetea balaa zaidi, baada ya kuwapo kwa taarifa kuwa huenda ikafutwa kama itazidi kukomalia msimamo ilionao wa kutotaka ushauri. Mgogoro huo umekipasua chama hicho na kuwa makundi mawili, moja likiongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba na jingine likiwa chini ya Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako