Saturday, 1 October 2016

KAMPENI YA UOTESHAJI MITI JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka udongo katika mti alioupanda eneo la JKT Mgulani Barabara ya kilwa wakati wa uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti katika jiji la Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako