IT'S VERY SAD....hapa ndipo tulipofikia.Hivi karibuni mzee mmoja aliyekuwa na baskeli aligongwa AKIWA KATI YA BARABARA...Watu wanapiga PICHA huku wakitania...ATAKUWA AMEVUNJIKA KIUNO(mocking).. Huku wengine wakijipiga Selfie Badala ya Kumsaidia
WANAKWAYA SITA WAFARIKI DUNIA WAKIENDA KUINJILISHA INJILI..
22 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako