Saturday 4 July 2015

MAPENZI: INAUMA LAKINI NDO UKWELI. USIJIRAHISISHE,CHUKUA HATUA

Makosa wanayofanya kinadada wengi siku hizi:
1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. Usiwe mjinga
2. Kukubali kuwa mke wa pili. Samahani sana nitakao gusa imani zao
3. Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye even hata kwenu apajui. Na pengine hata wazazi wako hawajui
4. Kutumia picha ya boyfriend wako kama profile picture wakati yeye hana hata wazo la kufanya hivyo.
5. Kumpa thamani yako PRIDE (Bikira), mwanaume ambaye ajatoa mahari wala kukuchumbia rasmi
6. Kupika chakula mara kwa mara na kufua nguo kuonyesha upendo kwa boyfriend wako ambaye si mume wako.
7. Kutokumuheshimu mzazi wako kwa sababu tu ya mwanaume ambaye wazazi wako hawamjui
8. Kumpa mwanaume sex kirahisi tu kwa sababu amekuambia atakuoa
.
.
.
.list itaendelea

No comments:

Post a Comment

Maoni yako