Saturday 14 March 2009

Vyakula vya nyumbani





Tanzania tunajivunia utajiri mwingi hasa utokao mashambani. Hii ni baraka, tuitumie. Tuvishabikie vyakula vitokavyo katika mashamba yetu, tulivyolima wenyewe na kama inatulazimu tu ndio tuagize kutoka nje za nchi.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako