Saturday 14 March 2009

Sakata la kumpiga Rais Mstaafu lapata sura mpya


Kijana aliyempiga "kelebu" Raisi mstaafu Mhe. Alhaji Ali H. Mwinyi amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela. Kijana huyo alimpiga Alhaji kofi/kelebu wakati Raisi mstaafu huyo alipokuwa akihutubia siku ya sikukuu ya Maulid katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako