Sunday 14 September 2014

ASIYEFANYA KAZI NA ASILE

Jiji Arusha wawafanyabiasha wengi na wachacharikaji wa kutafuta kipato wamebuni njia nyingine ya kuwapatia kipato zaidi ikiwa ni pamoja na kutoa mazingira mazuri kwa wateja wao. Picha hizi ni kwa hisani ya MTAA KWA MTAA BLOG

No comments:

Post a Comment

Maoni yako