Tuesday 1 April 2014

MVUA ZA MASIKA KIZAAZAA MAENEO MENGI TANZANIA

Hii ni sehemu ya mto Msimbazi maen
eo ya Jangwani Jijini Dar es Salaam
Huko Lindi nako Daraja limeezuliwa na maji na hapa wananchi wakijaribu kutengeneza kivuko cha muda
Hali ya tope katika Kituo cha Mabasi huko Njombe Iringa ni shida kwa wasafiri
Msafara wa mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) nao alipata adha hii katika Kata ya Mandera huko Bagamoyo
Mto Ruvu maeneo ya Kiwangwa Bagamoyo nao wasababisha barabara ya Msata/Bagamoyo kupitika kwa shida
Maeneo ya Mikocheni Jijini Dar es Salaam hasa eneo korofi la Shoppers Plaza nao wamekumbwa na adha hii
Treni la Mizigo nalo lapata dhoruba maeneo ya Mpwapwa Dodoma

No comments:

Post a Comment

Maoni yako