Sunday 13 April 2014

JUMAPILI NJEMA ILA MVUA YA WIKI HII TUNAIPA SHIKAMOO


Eneo la Jangwani Dar es Salaam. Kwa mbali linaonekana jengo la Yanga
Hata kwa mtumbwi hapafai
Kwa wingu hilo lilivyotanda uuuh
Uhai kwanza, gari tutanunua jinginge

Dar es Salaam yageuka kisiwa baada ya eneo la Ruvu kufurika.

2 comments:

  1. Kwa kawaida huwa tunakuwa na uhaba wa mvua na mwisho huwa maombi...sasa waweza kusema ni mwisho wa dunia

    ReplyDelete

Maoni yako