Monday 7 April 2014

HONGERA Mhe. RIDHIWANI KIKWETE: "LIKE FATHER,LIKE SON"

Baada ya kampeni za muda kuwania Ubunge Jimbo la Chalinze, hatimaye CCM kupitia mgombea wake Mhe. Ridhiwani Kikwete (mtoto wa kiume wa Rais Mhe. Jakaya Kikwete) amepata ushindi wa kishindo wa kura 20,812. Aliyemfuatiakutoka CHADEMA kapata kura 2,638. Uchaguzi huu umefanyika ili kuziba pengo la aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo Marehemu Said Bwanamdogo.
Hongera Mhe Ridhiwani Kikwete, sasa kawatumikie wana Chalinze.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako