Monday, 2 January 2017

MAMBO YA KIJIJINI

Kuishi kijijini inabidi uwe mvumilivu...
😬
Unaenda kuoga unakumbuka umesahau sabuni unaenda kuchukua,unafika bafuni unakuta ng'ombe amekunywa Maji yote😄
Unaenda kuchukua mengine ile kurudi bafuni unakuta mbuzi amekula sabuni yako ya kipande ya Mbuni.
😂😂😂😂
Unachukua maji mengine unaamua uoge tu bila sabuni,kumaliza tu unakuta mbwa kabeba taulo hapo sasa watu wote wameshaenda shambani kazi ipo.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako