Tuesday 23 October 2012

HAPPY BIRTHDAY NICKY

Tumia kifaa hiki kutambua Birthday Party inafanyikia wapi? Hakuna kiingilio

Wadau, leo ni "bethdei" yangu. Napenda kuwashukuru nyote kwa fadhila za kila namna, furaha mlizonipatia hadi nikaweza kufikia siku ya leo. Mungu awakarimu sana na tuzidi kuombeana na kushirikishana fadhila. Karibuni soda tutakiane "Maisha Marefu"

2 comments:

  1. Nachukua nafasdi hii na kukutakia HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA.Mwenyezi Mungu na akuzidishi maisha marufu na mafanikio kwa kila utakalotenda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante dada nawe uwe na baraka katika kila nyanja ya maisha.

      Delete

Maoni yako