Monday, 4 May 2009

NDOTO NYINGINE BWANA!!

Dar City - 2050

KIGAMBONI DAR-ES-SALAAM 2050

Saturday, 2 May 2009

SHUKRANI - 40 YA BABA MZAZI

Mama mzazi, ndugu, jamaa na marafiki wa Ukoo wa Mwangoka na Swai, leo wamekutana nyumbani Kilingi Sanya Juu-Kilimanjaro kwa ajili ya Ibada ya kutimiza siku 40 tangu Baba yetu Mpendwa Amedeus Mwangoka atutoke. Shukrani za pekee kwa sala, misaada ya hali na mali katika kipindi chote hiki cha majonzi. Tuzidi kumwombea Baba yetu apumzike kwa amani.
NAWASHUKURU PIA WANABLOG

Mmiliki wa Blog hii akiwa amevalia tshirt yenye picha ya Baba yake siku ya Mazishi

TBL YAWAZAWADIA SIMBA NA YANGA

MTOTO - AKILI NYINGI

Mtoto huyu Elise Tan Roberts ana umri wa miaka miwili tu, lakini anaonekana kuwa na kiwango kikubwa mno cha uwezo kiakili - ambacho wenzetu wanaita IQ - na amekuwa mtoto "GENIUS" mwenye umri mdogo kuliko wote. Anajua makao makuu ya 'karibu kila nchi' duniani. Anapoulizwa hapotezi muda kufikiri, bali anaporomosha jibu kama 'hana akili nzuri.'

MATOKEO KIDATO CHA SITA 2009


Kiwango cha ufaulu kwa jumla kimeongezeka kwa asilimia 1.65 kulinganisha na mwaka jana. Aslimia 90.92 ya wasichana (17,152) waliofanya mitihani wamefaulu wakati wavulana waliofaulu ni asilimia 88.89 (28,564).

Overall ten best students nationally


Auden G Kileo (M) – Kibaha – PCM
Raymond Aidan (M) – Kibaha – PCM
Frank Shega (M) – Tabora Boys – PCM
Charles M Simkonda (M) – Ilboru – PCM
Mackean G Mwaijonga (M) – Feza Boys – PCM
Sophia Nahoza (F) – Marian Girls – PCM
Atupele Kilindu (M) – Mzumbe – PCM
Athuman Juma (M) – Ilboru – PCM
Dikson Muregeki (M) – Tbora Boys – PCM
Michael Andrew (M) – Ilboru – PCM

Ten best Girls

Sophia Nahoza – Marian Girls – PCM
Leila n Ahmad - Boniconsili Mabamba Girls – HKL
Tunu Mangara – Marian Girls – PCM
Naomi Elibariki – Jangwani – HE
Agnes Dominic – Kibosho Girls – HKL
Habiba A Twaha – Lumumba (Unguja) – HGK
Furaha Amos – Marian Girls – ECA
Amina G Mziray – Machame Girls – HKL
Asimwe T Rugantoisa – Barbro-Johanson – PCM

Ten best boys


Aude N Kileo – Kibaha – PCM
Raymond Aidan – Kibaha – PCM
Frank Shega – Tabora Boys – PCM
Charles M Simkonda – Ilboru – PCM
Mackean G Mwaijonga – Feza Boys – PCM
Atupele Kilindu – Mzumbe – PCM
Athuman Juma – Ilboru – PCM
Dikson Muregeki – Tbora Boys – PCM
Michael Andrew – Ilboru – PCM
Fidahussein G Premji – Al-Muntazir Islamic – PCM

Ten best schools with less than 25 candidates

St James Seminary – Kilimanjaro
Kisimiri - Arusha
Masama Girls - Kilimanjaro
Katoke Seminary - Kagera
St Joseph-Kilocha Seminary – Iringa
USA Seminary – Arusha
St Peter’s Seminary – Morogoro
St Francis Desales Seminary – Morogoro
Arusha Catholic Seminary – Arusha
Dungunyi Seminary – Singida

Ten best schools with more than 25 candidates

Kibosho Girls – Kilimanjaro
Mariab Girls – Coast
Kibaha - Coast
Mzumbe - Morogoro
Ilboru - Arusha
Malangali -Iringa
Maua Seminary – Kilimanjaro
Uru Seminary – Kilimanjaro
St Mary Goreti – Kilimanjaro
Boniconsili Mabamba Girls - Kigoma

UJANA KUWAJIBIKA

Inafurahisha na kutia moyo sana kwa namna ambavyo vijana wengi wanajishughulisha na kazi kupata riziki za kila siku. Vijana wengi wanafanya kazi ngumu na katika mazingira magumu, lakini jitihada zao zinabarikiwa. Hongereni na poleni kwa kazi.


Thursday, 30 April 2009

SOKWE ASIYE NA MANYOYA

SIKU 100 - RAIS BARAK OBAMA U.S.A

MABOMU YALIPUKA GHALA LA SILAHA LA JESHI MBAGALA

Moshi ukifuka eneo la tukio

Usafiri kutoka na kwenda Mbagala ulikuwa ni kwa MIGUU (TZ 11)

Wananchi wakiagizwa waondoke eneo hilo maana si salama kutokana na mabomu hayo

Wanajeshi wakiondoa mabaki ya mabomu hayo.
Bomu