Saturday, 25 February 2017

POLENI KWA UKIMYA WA MUDA MREFU WADAU

Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja nilishindwa kuwaletea habari na burudani kupitia blog yenu ya KARIBU NYUMBANI kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Nawashukuru kwa uvumilivu wenu na karibuni tena nyumbani.

T U L I K O T O K A N I M B A L I

1 comment:

Maoni yako