Kumradhi wadau, nilipata safari ya ghafla kuelekea Kijijini kwa Bibi na Babu kuhani msiba wa Baba yangu mzazi, na mtandao huku hakuna kabisa. Muda mfupi ujao nitarudi na kuwaletea yaliyojiri.
Salaam kutoka Kijijini
WMA YAENDESHA ZOEZI LA UHAKIKI MITA ZA UMEME VIWANDANI
59 minutes ago
Shukrani kama upo salama na pole sana kwa yote. Salimia sana bibi na babu.Tupo pamoja
ReplyDeletePole sana Mkuu!
ReplyDeleteBado twakusubiri Kaka Nick.
ReplyDeleteReja salama
kaka Nick salama huko????
ReplyDeletehurudi tu jamani
ReplyDeleteNi kweli hurudi tuuuu kaka tunakumiss
ReplyDeleteBado twasubiri kurejea kwako
ReplyDelete