Friday, 17 July 2015

Sunday, 12 July 2015

MHE.JOHN MAGUFULI ALIPOKUWA AKIOMBA KURA HAPO JANA USIKU

CHADEMA NAO SIO HABA BAADA YA CCM KUFUNGUA UKUMBI MPYA

Pichani chini Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe.Rais Jakaya Kikwete akifunga Mkutano Mkuu wa CCM ulopitisha jina la mgombea urais kwa Tiketi ya CCM mhe. John Magufuli
Rais Kikwete akiwa na Mgombea Urais Mhe. John Magufuli na Mgombea mwenza Mhe.Samia Suluhu Hasan
(Picha kwa Hisani ya Michuzi Blog)

MAGUFULI HOYEEEE

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais kupitia chama hicho. Katika Mkutano Mkuu uliofanyika usiku wa kuamkia leo mjini Dodoma, Dk. Magufuli amechaguliwa kwa kura 1560 akifuatiwa na Asha-Rose Migiro aliyepata kura 702 huku Balozi Amina Salum Ali akipata kura 349
Mhe. Magufuli akimtambulisha Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan

Saturday, 11 July 2015

TATU BORA CCM 2015

Mhe. Asha Rose Migiro
Mhe.John Magufuli
Mhe Amina S. Ali