Akikaribishwa na Waziri Mkuu wa Algeria Mhe. Abdelmalik sellal kuingia katika Ikulu ya nchi hiyo huko Zerald.
kiweka Shada la Maua katika Kaburi la Mashujaa wa Algeria.
Mhe. Rais Kikwete yupo nchini humo kwa ziara ya siku Tatu kwa mwaliko wa Mhe.Rais wa Algeria mhe. Abdelaziz Boureflika.
BENKI YA STANBIC YACHANGIA MADAWATI MKOANI MBEYA
38 minutes ago


No comments:
Post a Comment
Maoni yako