Rais wa Msumbiji mhe. Nyusi yupo nchini tangu jana kwa ziara ya siku 3.
Mhe Raisi Kikwete akimkaribisha mgeni wake alipowasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere DAR
Ngoma ya mganda ikichezwa wakati wa kumkaribisha rais Nyusi. Ngoma hii ni maarufu katika mikoa ya kusini
BENKI YA STANBIC YACHANGIA MADAWATI MKOANI MBEYA
40 minutes ago



No comments:
Post a Comment
Maoni yako