Leo tena madreva wa vyombo mbalimbali vya abiria wamegoma kusafirisha abiria wakitaka matakwa yao yatekelezwe.
Abiria wengi wakiwemo wanafunzi hasa katika Jiji la Dar es Salaam wamelazimika kutembea kwa miguu umbali mrefu kufika maeneo lengwa
BENKI YA STANBIC YACHANGIA MADAWATI MKOANI MBEYA
40 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako