Mhe rais Kikwete akikabidhiwa funguo na Meya wa Jiji la Maputo Mstahiki David Simango kama iishara ya kumtunuku ukazi wa kudumu wa heshima wa jiji la Maputo.
Akivishwa vazi maalumu la heshima la Jiji la Maputo
akigonganisha glass na mhe Fillipe Nyusi,Rais wa Msumbiji katika tafrija ya kumuaga
CTA NA FAWETZ WAWAJENGEA UWEZO WATOTO WA KIKE TANZANIA
55 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako