Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la Msingi katika jengo jipya la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo.Kushoto ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa, na Katikati ni Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe.
CTA NA FAWETZ WAWAJENGEA UWEZO WATOTO WA KIKE TANZANIA
55 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako