Watengeneza teknologia ya sumsung's safety truck dereva ambaye gari lake litakua nyuma ya lori atakuwa na uwezo wa kuona kila kitu mbele kinachokuja.Tekinologia hiyo imeletwa kutokana na sababu ya usumbufu wa ma lori njiani.
WATUHUMIWA WANNE WAKAMATWA NA MADINI YA VITO MAHENGE
25 minutes ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako