BAKWATA iliyokaa leo huko Dodoma imemchagua Sheikh Abubakary Zuber (wa katikati kwenye picha) kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania kuiba pengo lililoachwa na Hayati Sheikh Issa bin Simba.
Blog hii inachukua nafasi kumpongeza kwa dhati Mufti Mkuu wa Tanzania na pia kuwapongeza ndugu waislamu wote kwa kupata kiongozi huyu mahiri.
BENKI YA STANBIC YACHANGIA MADAWATI MKOANI MBEYA
42 minutes ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako