Ukitazama vizuri mabango hayo mawili unapata ujumbe gani? Mie napita tu.......
Wakoloni walipokuwa hapa nchini walikuwa wakibebwa hivi, tukaona si sahihi tukapingana nao na wakaondoka, Machifu wetu pia walikuwa wakibebwa hivi ila baadae tunaona pia inadidimiza utu wa binadamu, leo iweje hapa au ndo tumeshasahau yote kwa ushabiki wa kisiasa tu. Nauliza tu.......
BENKI YA STANBIC YACHANGIA MADAWATI MKOANI MBEYA
42 minutes ago


No comments:
Post a Comment
Maoni yako