Pamoja na kazi nzuri za kimaendeleo zinazofanywa na Serikali, ila kwa wakazi wa eneo hili Wilayani Hai/Kilimanjaro wanapata adha kubwa sana. Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Novatus Makunga alitembelea eneo la kivuko cha waendao kwa miguu huko Kiyungi kata ya Weruweru na kusikitishwa kuona bado wananchi wanapita katika Daraja hilo mnepo. Ni hatari kwa maisha lakini ndo hivyo wananchi wafanyaje, wanalazimika.
(Picha kwa hisani ya Michuzi Blog)
CTA NA FAWETZ WAWAJENGEA UWEZO WATOTO WA KIKE TANZANIA
53 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako