Moja ya nyumba za ghorofa za vijijini
Ghorofa za Benki Kuu Tanzania Jijini Dar-es-Salaam
Watoto wakiwa kanisani, katika moja ya makanisa ya Vijijini.
Hili nalo ni Kanisa wanakohudhuria kusali watu wengine kama wafanyavyo hao watoto hapo juu
Hali halisi ya maisha ya wototo walio wengi
Waliobahatika wachache katika nchi yenye heri
Thursday, 18 June 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kwanza napiga hodi hapa. Halafu nasema nimefurahi na nimecheka sana. kazi nzuri unafanya
ReplyDeletemkuu nimefurahi sana kwa blog nzuri kama hii. karibu sana katika ulimwengu wa kublog.
ReplyDeleteni picha nzuri sana.
Karibu sana Mkuu. Karibu katika ulimwengu wa ku-blog.
ReplyDeleteBlessings
kaka karibu sana katika ulimwengu wa kublogu maana ni zma mpya hizo lakini tusisahau yetu au vipi mwanakwetu.
ReplyDeletehodiiiiiiiiiiiiiiii hapa NYUMBANI nawe KARIBU NYASA