Huyu ni Nahodha wa Boti/Meli YA SEAGULL inayofanya safari zake kati ya Dar na Zanzibar. Kwa mtindo huu wa kuchapa usingizi kazini kwanini meli zisizame???!!! Mamlaka husika zitupie macho tatizo hili.
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!