Siku za hivi karibuni baada ya Coca Cola kutoa "offer" inayomwezesha mnywaji kupata soda ya Coca hata iliyoandikwa jina lake, wengi wamekuwa wakihaha kitafuta chupa zenye majina yao au hata kutamani Coca cola waandike majina yao.
Mpaka Kaka yangu Le Mutuz alifanikiwa kukabidhiwa kopo la Coca lenye jina lake la kikazi "Le Mutuz"
Sasa kwa wale waliokuwa wanatamani kuandikwa majina yao kwenye makopo ya Coca cola, je na huku pia utatamani jina lako liandikwe????
BENKI YA STANBIC YACHANGIA MADAWATI MKOANI MBEYA
42 minutes ago



No comments:
Post a Comment
Maoni yako