Katika mikoa ya Tanzania, kwa Tanga hii tutasema ni mahaba ya dhati ambayo ni kawaida tu yapo damuni ila kwa mikoa mingine tutaita Limbwata. Je wewe wasemaje mdau?
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
No comments:
Post a Comment
Maoni yako