Kwenye mnada wa samaki huko Pemba Bwana mmoja alifika 70,000/ kwa tenga. Akatokea mwakilishi (ccm) akatamka kutoa 140,000/- Cha ajabu yule mchuuzi akampa aliyefikia elfu 70,000/
Mwakilishi alipouliza jamaa akamwambia kwani nyie tukishinda mwatupa?
Chezea Zanzibar wewe!
KAMATI YA BUNGE YAIPIGIA SALUTI TEKNOLOJIA YA STAMICO
8 minutes ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako